Skip to content

Tag Archives: swahili

Wala Badali Sioni

Nyuni ya Layali Ewe nyumi ya layali pokea zangu salamu miye kula huwa sili menivamu muadhamu kama nanga ya jabali nimezidiwa ghulamu. Barua yangu pokea uyasome yalo humu yapate kukuelea yakuingie timamu mno tena niwilia kisoma zangu salamu. Nijile kwako, mwandani, ni uswahibu napenda meambatana na ini mahaba yamenikunda kama nswi baharini na kwangu yamenitanda. […]